maisha ya utoto

AssalamA leykum wa Islam na bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wa Kristo, Leo nataka nku kumbushe maisha ya utotoni, nakumbuka nilipo kua mtoto sikutambua wala kujua kama kuna kitu kinachoitwa JITIHADA za KImaisha ambazo zina anza kwa kusoma sana yani kwa juhudi kwa no hi zetu za kiafrika , na baada ya kusoma ni kupata ajira ya kazi nzuri ambayo itakufanya uishi vyema kabisa na familia yako, sasa mimi skuwaza yote hayo nilijua tu kucheza michezo yote nlio iweza na kula skujua babangu anafanyaje kutimiza maitaji yangu ya kuvaa kula nakuhakikisha afya yangu ipo salama. Na wakati mwengine nlikua nalilia kitu flank nikipate kwa lazima bila kumuhurumia babangu maskin, babangu alijitahidi kutafuta nnacho hitaji haimaaanishi skua nampenda babangu lakini Ilikua a ivo.

            Apa najaribu kueleza ni jinsi gani tulikua wasumbufu kwa wasumbufu Kwa wazazi wetu , tulivo kua watoto kupata tunacho penda bila kuwaza wata timiza kivipi,  na vivyo ivo ndo wanavyo tusumbua watoto wetu kuwatimizia wanacho taka.je? We kama mzazi ambae uliwasumbua wazazi wako mpaka apo ulipofika kua ni mzazi, unatimiza anacho itaji mwanao? A u wewe kwako mwanao amekua kero mpaka eti unafika hatua ya kumtelekeza mwanao? Kwa wazazi wa namna hii wallah nakuapia una deni kubwa sana kwa mungu na sijui utalikwepa vipi deni ilo, huitaji mtoto sasa kwanini ulizaa? Ilo ni juju lako mzazi tena hasaaa kwa mzazi wa kiume,  tena utakuta mtu mungu amekupa rizki nzuri ya halali una names katika jamii lakn watoto wako uumewatelekeza, hawana wa kuwasomesha, hawana wa Kuwait ha hawana wakuangalia afya zap maskin. Wakati mwengine tunawalaumu omba omba eti kwanini wana mikono na miguu viungo vyote ni vizima kikamilifu lakn wanabaki kua ombaomba kumbe hatujui nyuma ya pazia maisha ya uyo mtu ya poje, nakusihi ndugu yangu mtu akikujia kutaka msaada na kama una nafasi ya kumsaidia we msaidie tu japo watu wamekua waoga kumsaidia mtu wa namna io. Nakushauri usiache kumsaidia mtu atakama atakua na mbinu zake za utapeli basi we chukulia u me to a sadaqa kwa mungu na mungu atakulipa hutakua u me posted a kitu kwa mungu
         Leo tukomee apa lakini natumai nimekufunza kitu maisha ni hatua na hatujui hatua yako ni ipi kesho Leo una mali una um aarufu na kill kitu kinachokufanya up bora kuliko mwenzako.je? Kesho yako unaijua?


I

Comments

Post a Comment