Posts

Showing posts from October, 2018

maisha ya utoto

AssalamA leykum wa Islam na bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wa Kristo, Leo nataka nku kumbushe maisha ya utotoni, nakumbuka nilipo kua mtoto sikutambua wala kujua kama kuna kitu kinachoitwa JITIHADA za KImaisha ambazo zina anza kwa kusoma sana yani kwa juhudi kwa no hi zetu za kiafrika , na baada ya kusoma ni kupata ajira ya kazi nzuri ambayo itakufanya uishi vyema kabisa na familia yako, sasa mimi skuwaza yote hayo nilijua tu kucheza michezo yote nlio iweza na kula skujua babangu anafanyaje kutimiza maitaji yangu ya kuvaa kula nakuhakikisha afya yangu ipo salama. Na wakati mwengine nlikua nalilia kitu flank nikipate kwa lazima bila kumuhurumia babangu maskin, babangu alijitahidi kutafuta nnacho hitaji haimaaanishi skua nampenda babangu lakini Ilikua a ivo.             Apa najaribu kueleza ni jinsi gani tulikua wasumbufu kwa wasumbufu Kwa wazazi wetu , tulivo kua watoto kupata tunacho penda bila kuwaza wata timiza kivipi,  na vivyo ivo ndo wanavy...